8.4 Mpangilio wa maneno kwenye fungu la maneno na kitu halisi |
Fanya hizi sentensi kwa kidenishi.
Kim aliwaona watoto.
Fanya hizi sentensi kwa kidenishi.
Watoto walimuona Kim.
Fanya hizi sentensi kwa kidenishi.
Simon alimtania Eva.
Fanya hizi sentensi kwa kidenishi.
Paka amemuuwa panya.
Fanya hizi sentensi kwa kidenishi.
Jana watoto walikula kuku.