Ni kwa jinsi gani mwisho katika wingi upo ?
Bonyeza na mouse – kuna majibu mengi sahihi.
- Kama neno lina silabi moja, kawaida uishia na –e katika umbo lisilo wazi wingi.
- Kama neno lina silabi mbili au nyingi, kawaida uishia na –er katika umbo lisilo wazi wingi.
- Neno uishia daima kwa –e.